Skip to main content

Wakati ule Juma Shabani analeta jeuri na kiburi ndani ya Club ya Yanga Heris Said akasema hakuna mchezaji mkubwa

YANGA SC NEWS UPDATE



Wakati ule Juma Shabani analeta jeuri na kiburi ndani ya Club ya Yanga Heris Said akasema hakuna mchezaji mkubwa kuliko Club kwa mantic hiyo Juma Shabani hatakua sehemu ya kikosi.

Mashabiki wa Yanga wakaingiwa hofu tutampata wapi Tena full back wa kulia kumzidi solder ya bemba.

Injinia Heris akasema tulieni mtu ninae mleta kazi atakayo ifanya Nina uhakika hamta mkumbuka Tena Juma Shabani.

😊Yes yes baada ya mechi 4 za mwanzo hakuna mwana Yanga alie kua na doubt na Yao Kouassi.

Assist 7 msimu huu na goli Moja ni mlinzi wa pembeni mwenye namba nzuri kuzidi beki yeyote Tanzania.@yaokouassi_attohoula_








KARIBU UTANGAZE NASI BIASHARA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA WHATSAPP BOFYA HAPA
       👇👇




AU TUPIGIE KUPITIA+2556941267
                                             OR
                                     +255653393434


MAXI DIGITAL ADVERTISERS (MDADS)

company hii imeanzishwa mnamo 10 /6/2024. lengo la kuanzisha kampuni hii ni kwaajiri ya wafanya biashara wadogo wadogo na wakubwa kwa pamoja

Kampuni imejikita katika sekta mbili ambazo ni Matangazo ya Online kupitia YouTube channel yetu ambayo ni (B.K COMEDY TV)
Pamoja na Website ( UKURASA) wetu ambao unahusika na maduka ya michezo

hivyo mteja atachagua wapi tangazo lake lionekane. 


                     ZINGATIA!!!!!

Kama mteja atachagua tangazo lake lionekane kwananjia ya YouTube mteja atatuelezea au kututumia tangazo lake ambalo litaambatanishwa katika COMEDY zetu ambazo tunazilusha kila siku tutakutengenezea tangazo lako kwa njia ya Video ambapo tangazo hilo either litaanza mwanzoni mwa Video comedy zetu au mwishoni mwa Video comedy zetu 




Kama mteja atachagua tangazo lake lionekane kwananjia ya Ukurasa (website) yetu ya michezo kila siku
hivyo tangazo lake litawekwa kila ukurasa mpya wa habari tutakazo kuwa tunazichapisha kila siku

TAMBUA

Tangazo lako litawekwa katika ukurasa unao anzia Trafic views 50,000

kwa siku tangazo lako litaweza kutizamwa na idadi kamili ya Watu wasiopungua Elf 20,000 elf ishirini na kuendelea




                    BEI


BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAKUTANGAZIA BIASHARA YAKO KUANZIA TZS 10,000 TU

Tzs 10000 / 1 mwezi


Tzs 2,0000/2 miezi

Tzs 30,000/3 miezi

Tzs 40,000/4 miezi

Tzs 50,000/5 miezi

Tzs 60,000/6 miezi

Tzs 70,000/7 miezi

Tzs 80,000/8 miezi

Tzs 90,000/9 miezi

Tzs 100,000/10 miezi

Tzs 110,000/11 miezi

Tzs 120,000/12 miezi



MALIPO YAFANYIKE KUPITIA AIRTEL MONEY

    +255694126728




     JINA: SHABAN DAMIAN KASINDE






KWA


MAWASILIANO TUPIGIE

+2556941267. AIRTEL

AU 

+255653393434. TIGO



FOR ENGLISH


WELCOME TO MAXI DIGITAL ADVERTISERS (MDADS) 

our company dealing with Advertising of Small business and Large business



our service took place into tow categories that is YouTube advertise through our Channel that's B.K COMEDY TV and our sports website 



HOW YOUR AD WILL RUN THROUGH YOUTUBE?


We will show your Ad beginning of aur Videos that's Comedies or at the End of our Videos  

HOW IT WORKS ?

You will tell us what's kind of Ads do you need tu Advertise. so we will make a short video of your Advertisement and then we will make the conjunction with our Comedy video at beginning of the Video or at the End of the video



OUR PRICE


WE HAVE MORE AFFORDABLE PRICE OUR PRICE STARTS AT $5 PER ONE AD

$5 PER 1 MONTH

$10 PER 2 MONTHS

$20 PER 3 MONTHS

$30 PER 4 MONTHS

$40PER 5 MONTHS

$50 PER 6 MONTHS

$60 PER 7 MONTHS

$70 PER 8 MONTHS

$80PER 9 MONTHS

$90 PER 10 MONTHS

$100 PER 11 MONTHS

$110 PER 12 MONTHS

PAYMENT ACCOUNT MAKE THE PAYMENTS THROUGH (AIRTEL MONEY)


+255694126728 

NAME : SHABAN DAMIAN KASINDE







TELL US FOR MORE INFO


+255653393434


+255694126728




  
NOTE


OUR WEBSITE HAVE 50,000 DATA TRAFFICS
IF YOU CHOOSE YOUR ADS TO BE SHOWN AT THE SPORTS WEBSITE YOUR AD WILL BE ATTACHED PER EVERY PAGE THAT WILL BE PUBLISHID 



     TANK YOU FOR CHOOSING US🙏🙏

Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

HAYA APA MATOKEO YOTE YA NBC PREMIER LEAGUE LEO FULL TIME

Sports and Games #NBCPL MATOKEO  Zimepigwa #hattrick mbili leo, moja ikitoka kwa Ismail Mgunda wa Ihefu na nyingine imetoka kwa …….. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania (Saido 88’p, Onana 90’+2) FT: Geita Gold 0-2 Azam (Yeison 58’, Feisal 71’) FT: Yanga 4-1 TZ Prisons (Aziz Ki 11’, 12’, 79’ Musonda 52’ / Ngassa 5’) FT: Namungo 3-2 Tabora United (Buswita 19’, 28’p, Manyanya 77’ / Abbas 84’, Moses) FT: Coastal Union 0-0 KMC  FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’, 47’, Ulomi 84’) FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’, 62’, 74’ / Karihe 37’) FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19’, Kaseke 84’p / Mafie 40’, Mbaraka 46’, Mhilu 82” By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube Facebook

MTI WA SUGAR RASMI AAGA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE

Sports and Games MSIMAMO: NI rasmi sasa nafasi ya nne msimu huu inamilikiwa kihalali na Coastal Union wakati vita ya kukwepa kushuka daraja moja kwa moja likisalia kwa Geita Gold na Tabora United…… Je, nani atamfuata Mtibwa Sugar???    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube channel Facebook