Skip to main content

ALICHOKIANDIKA HAJI MANARA HIKI HAPA

Sports and Games

Pengine unaweza kudhani hili shangwe la GSM GSM GSM linalopigwa na Washabiki wetu limepangwa labda,
Laa hasha ndugu zangu,,He deserve it , tena 100% au zaidi!!

Wachezaji,Benchi la Ufundi,Management na Uongozi wote wa Yanga Chini ya President Hersi Said @caamil_88 pamoja na Wanachama na Washabiki wote, anaetubeba na kutufanya tutambe kisha tutembee kifua mbele ni Ghalib Said Mohammed,,Without him tungeendelea kupiga parade za kufukuzana tu.


https://www.highcpmgate.com/ng1dmadp6j?key=173c569203ab095058e7bfb0eaf7bcd4



Anasajili kwa pesa zake,,anaendesha shughuli nyingi za Club na bado kwa sehemu kubwa analipa mishahara yetu Staff na Wachezaji wa Team hii pendwa,
Ghalib ameitoa Club hii kuwa omba omba na kuifanya Club ya mfano na sio Tanzania tu bali Afrika nzima.

Haya mafanikio ya misimu hii mitatu pamoja na mchango wa kila mmoja klabuni tukiongozwa na akili kubwa ya Hersi na Kamati yake Tendaji,lakini Mmahara huyu wa kingoni anapaswa aimbwe zaidi ya hivi,ni vile tu hana mbwembe zetu na hapendi sifa na kujikweza,,lakini naapa kwa jina la Mungu Ghalib ametupa furaha sana Wananchi.



https://www.highcpmgate.com/ng1dmadp6j?key=173c569203ab095058e7bfb0eaf7bcd4

Hebu na kuanzia sasa tumvishe Jina la ziada na tuanze kumtambulisha kama Shekh ,Dr Ghalib Said Mohammed GSM, Waarabu wote wenye maana zao huanza kutambuliwa kwa jina la Shekh, hata Boss mkuu wa Manchester City huanza kuitwa jina la Sheikh kabla ya jina lake, akiitwa kwa moja maarufu kama Shekh Mansoor.

Hata Kabaila la PSG ya France nae hiuitwa kwa jina maarufu la Sheikh Tamim Al Thani.

Now tumtambulishe hivyo Ghalib Sadi Mohammed kama Sheikh Ghalib au Dr Ghalib Said.

@yangasc
@caamil_88
@arafat__ah
@gsmgroupofcompanies


 BY Maximilian Damian reporter


Follow us on



YouTube


Facebook




https://www.highcpmgate.com/ng1dmadp6j?key=173c569203ab095058e7bfb0eaf7bcd4

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix