Sports and Games
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephen Aziz Ki ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso 🇧🇫 kitakachocheza dhidi ya Egypt 🇪🇬 na Sierra Leone 🇸🇱, Kufuzu kombe la Dunia 2026.
By Maximilian Damian reporter
Follow us on
YouTube
Facebook
Comments