Skip to main content

AZIZ KI AKATA MZIZI WA FITINA

Sports and Games

"Wanaomuhitaji Aziz Ki wapo vizuri kifedha hiyo ni kweli sina haja ya kuleta propaganda mimi nimenyooka kama rula, mimi ningekuwa mtu wa propaganda ningewaambia Aziz kasaini ila ukweli bado hatunae, hakuna siasa hapa tusipeane moyo wakati uhalisia tunaukimbia."- Ally Kamwe, Afisa habari wa klabu ya Yanga SC.

Taarifa kutoka ndani ya Yanga SC inasema Vilabu vya Afrika kusini na Uarabuni ndivyo vilivyotuma ofa kubwa kumuhitaji Aziz Ki, klabu ya Yanga bado iko mezani na Mchezaji huyo wakifikia makubaliano ya kumbakiza watasema, wakishindwa pia watasema.

Pia inatajwa ofa iliyotumwa, Pesa ya usajili "Signing fee" na mshahara kwa miaka mitatu (3) na klabu moja kubwa kumsajili Aziz Ki ambapo thamani yake inakaribia kufikia Shilingi Bilioni mbili za kitanzania.

Toa maoni yako

By Maximilian Damian reporter



Follow us on

YouTube

Facebook


Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

YANGA NI HATARI WANAPOKUWA HAWANA MPIRA : RANGA CHIVAVILO MSHAMBULIAJI KAIZER CHIEFS

YANGA SC NEWS UPDATE YANGA NI HATARI WANAPOKUWA HAWANA MPIRA : RANGA CHIVAVILO MSHAMBULIAJI KAIZER CHIEFS  Mshambuliaji wa Kaizer Chiefs Ranga Chivaviro amekiri kuwa ubora wa Yanga ikiwa haina mpira ndio imewapa ushindi wa mabao 4-0 wa Toyota Cup uliopigwa Afrika Kusini Jumapili iliyopita  Katika mchezo huo Prince Dube, Aziz Ki na Clement Mzize ndio waliofunga mabao ya Yanga huku mawili yakifungwa na Aziz Ki Ki alifunga mabao hayo yakiwa ni matokeo ya 'pressing' iliyofanywa na wachezaji wa Yanga na kupelekea walinzi wa Kaizer Chiefs kufanya makosa  Chivaviro alianza katika mchezo huo akiongoza safu ya ushambuliaji ya Chiefs lakini mpaka kocha Nasreddine Nabi anamtoa hakuwa amepiga shuti lolote langoni kwa Yanga "Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha walioitumia kutengeneza ushindi wao" "Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenz...

JEZI ZA YA YANGA ZA ZUA GUMZO SOUTH AFRICA!!!

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu zetu zinapaswa kujifunza jambo kutoka kwa wengine kuhusiana na biashara ya jezi, kama ulifatilia vizuri msimu uliopita jezi za Mamelodi Sundowns zilivaliwa sana Tanzania, hilo halina ubisha. . Jezi za Mamelodi Sundowns zilinunuliwa sana Bongo! Ukipita mitaani ile UBUNTU-BOTHO ilichafua sana mitaa. Jamaa walifanikiwa sana kwenye soko la jezi Tanzania. . Natamani kuona klabu za Tanzania hususan giants [Yanga, Azam FC na Simba] zina shika soko la Afrika kwa kusambaza jezi zao.  . Sasa hapo ndio tutaona nguvu ya kit suppliers timu zetu, wana international market? Wana retailers nje ya Tanzania? Wana connections za kusambaza jezi nje ya nchi? .