Skip to main content

FEI TOTO AMUPONGEZA AZIZI KI๐Ÿ™๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’š

Sports and Games

FEI TOTO AMUPONGEZA AZIZI KI.

"Kwanza Nina furaha Sana kwa kuiwezesha Timu yangu Kwenda CAF Champions league, Pili nimpongeze AZIZI KI kwa Kuwa Mfungaji Bora Wa ligi, kila timu ina tamani Kucheza Klabu Bingwa na Kufanya Vizuri na Sisi tutajipanga ili tukafanye Vizuri" 

- Faisal Salum (Fei Toto) Mchezaji Wa Azam FC 

Follow ukurasa wetu 

By Maximilian Damian reporter



Follow us on


YouTube



Facebook 

Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

HAYA APA MATOKEO YOTE YA NBC PREMIER LEAGUE LEO FULL TIME

Sports and Games #NBCPL MATOKEO  Zimepigwa #hattrick mbili leo, moja ikitoka kwa Ismail Mgunda wa Ihefu na nyingine imetoka kwa โ€ฆโ€ฆ.. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania (Saido 88โ€™p, Onana 90โ€™+2) FT: Geita Gold 0-2 Azam (Yeison 58โ€™, Feisal 71โ€™) FT: Yanga 4-1 TZ Prisons (Aziz Ki 11โ€™, 12โ€™, 79โ€™ Musonda 52โ€™ / Ngassa 5โ€™) FT: Namungo 3-2 Tabora United (Buswita 19โ€™, 28โ€™p, Manyanya 77โ€™ / Abbas 84โ€™, Moses) FT: Coastal Union 0-0 KMC  FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6โ€™, 47โ€™, Ulomi 84โ€™) FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5โ€™, Chukwu 16โ€™, Mgunda 41โ€™, 62โ€™, 74โ€™ / Karihe 37โ€™) FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19โ€™, Kaseke 84โ€™p / Mafie 40โ€™, Mbaraka 46โ€™, Mhilu 82โ€ By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube Facebook

MTI WA SUGAR RASMI AAGA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE

Sports and Games MSIMAMO: NI rasmi sasa nafasi ya nne msimu huu inamilikiwa kihalali na Coastal Union wakati vita ya kukwepa kushuka daraja moja kwa moja likisalia kwa Geita Gold na Tabora Unitedโ€ฆโ€ฆ Je, nani atamfuata Mtibwa Sugar???    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube channel Facebook