Skip to main content

HII APA RECORD MPYA YA AZIZ KI

Sports and Games

MAKOLO  rasmi nafasi ya tatu na kukata tiketi ya kushiriki kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao huku Azam Fc ikiungana na Yanga Sc kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.

Kwenye mbio za ufungaji bora, Stephanie Aziz Ki amejihakikishia kiatu cha ufungaji bora baada ya kufunga hat-trick na kufikisha magoli 21 kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu huu, mawili mbele ya Faisal Salum 'Feitoto' mwenye magoli 19.

Kwenye mbio za kuwania tuzo ya kipa bora wa msimu, Ley Matampi wa Coastal Union amempiku Djigui Diarra wa Yanga Kwa kufikisha 'clean sheets' 15 baada ya kuisaidia Coastal Union kwenye sare ya 0-0 dhidi ya KMC.

FT: Simba 2-0 JKT Tanzania
⚽ Saido (P) 88'
⚽ Onana 90+3'

FT: Yanga 4-1 TZ Prisons
⚽⚽⚽ Aziz Ki 11’, 12’, 79’
⚽ Musonda 52’
⚽ Ngassa 5’)

FT: Geita Gold 0-2 Azam Fc
⚽ Yeison 58’
⚽ Feisal 71’

FT: Namungo 3-1 Tabora United (Buswita 19’, 28’p, Manyanya 77’ / Abbas 84’)

FT: Coastal Union 0-0 KMC

FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’, 47’, Ulomi

FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’, 62’, 74’ / Karihe 37’)

FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19’, Kaseke 84’p / Mafie 40’, Mbaraka 46’, Mhilu 82'


By Maximilian Damian reporter



Follow us on



YouTube


Facebook 

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix