Sports and Games
ALIZALIWA katika Jiji la Abidjan Nchini Ivory Coast ๐จ๐ฎ.Akakulia huko Ivory Coast ๐จ๐ฎ na Burkina Faso ๐ง๐ซ kabla ya kuelekea Barani Ulaya katika Nchi ya Uhispania.Akasajiliwa na kucheza katika vilabu mbalimbali huko Ulaya ikiwemo Klabu ya Rayo Vallecano ๐ช๐ธ kabla ya kurejea Tena Barani Afrika.
KUTOKA Burkina Faso ๐ง๐ซ mpaka Dar Es Salaam Tanzania ๐น๐ฟ,Kijana wa Miaka 28,Stephane Aziz Ki ๐ง๐ซ aliyesajiliwa na Yanga SC ๐น๐ฟ kwa dau la dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya Shilingi Milioni 699 za Kitanzania amekuwa Mchezaji wa kwanza kufunga mabao 21 kwenye Ligi Kuu ikiwa na timu 16 na kuwa Mfungaji bora wa Msimu wa 2023/24.
MPENI maua yake AZIZ KI mkononi na tena ikiwa ni mchana msisubiri usiku ndio mkayatupe majararani.Uwe una mkubali au haumkubali basi jitahidi kutoa heshima kwake ๐๐ฟ
The Guy is so so so Pure Talented,Stephane Aziz Ki ๐ง๐ซ,Mtakatifu STEPHANO,Genius wa BOLU,Messi wa Mpira ๐
By Maximilian Damian reporter
Follow us on
YouTube
Facebook
Comments