Skip to main content

KUNAWATU WALIHISI NI NGUMU KUVUNJA UFALME WA SIMBA

Sports and Games

𝗥𝗔𝗜𝗦𝗜 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗘𝗡𝗚 𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜

"Kuna watu walihisi ni ngumu kuuvunja ufalme wa Simba SC baada ya wao kubeba taji la nne mfululizo wa Ligi Kuu, nikawaambie subirieni niwaoneshe itakavyofanyika na sasa tupo hapa ila bado tuna malengo makubwa zaidi ya hapa" 

Rais Young Africans na Mwenyekiti wa Vilabu vya mpira barani Africa - Eng Hersi Said


BY Maximilian Damian reporter



Follow us on

YouTube


Facebook




https://www.highcpmgate.com/ng1dmadp6j?key=173c569203ab095058e7bfb0eaf7bcd4

Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki

Sports and Games Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki iliyozuka miongoni mwa wapenzi wa soka baada ya posti yake aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuzua sintofahamu. Awali kiungo huyo raia wa Burkina Faso alichapisha taarifa ya kuushukuru uongozi wa klabu hiyo, mashabiki pamoja za wachezaji wenzie kwa mafanikio waliyoyapata katika msimu uliomalizika hali iliyopelekea wengi kudhani anaaga Yanga. Hata hivyo Aziz Ki amejibu 'comment' ya mdau iliyosema “Ashiiii Azizi sasa kwenye post yako usianze na maneno 'thanks' unatufanye tuhofie kuwa unataka kuondoka” Akijibu 'comment' hiyo Ki ameandika “Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI” Posti iliyozua sintofahamu ilisomeka "Kila kitu kiliwezekana Shukrani kwenu wachezaji wenzangu, wafanyakazi, kamati ya rais na hasa nyinyi mashabiki, wapendwa wa...

BREAKING NEWS YANGA SC YAONDOLEWA ADHABU NA FIFA

Sports and Games Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) @taifastars_ @caf_online @yangasc By Maximilian Damian reporter Follow us on Facebook