Skip to main content

MATOKEO YA MATCH ZOTE AYA HAPA

Sports and Games

Wananchi, Young Africans Sc tunaenda mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Wajelajela Tanzania, Prisons katika dimba la Azam Complex, Chamazi huku Stephanie Aziz Ki akiongeza akaunti yake ya magoli kufikia magoli 20 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ufungaji bora.

Kwingineko mbio za nafasi ya pili bado mbichi huku mambo yakiwa magumu kwa Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa hali kadhalika kwa Azam Fc huko Nyankumbu, Geita 

HT: Yanga 2-1 TZ Prisons
⚽⚽ Aziz Ki 11’, 12’
⚽ Ngassa 5’

HT: Simba Sc 0-0 JKT Tanzania.

HT: Geita Gold 0-0 Azam Fc 

HT: Namungo 2-0 Tabora United (Buswita 19’, 28’p)

HT: Coastal Union 0-0 KMC

HT: Mashujaa 1-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’)

HT: Ihefu SC 3-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’ / Karihe 37’)

HT: Singida FG 1-1 Kagera Sugar (Kidemile 19’ / Mafie 40’)


By Maximilian Damian reporter


Follow us on




YouTube


Facebook

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix