Skip to main content

TUZO ZA TFF KUTOLEWA KATIKA NGAO YA JAMII

Sports and Games


𝐓𝐔𝐙𝐎 𝐙𝐀 𝐓𝐅𝐅 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀 𝐍𝐆𝐀𝐎 𝐘𝐀 𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈

Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Limetangaza yakuwa Tuzo sasa Zitakuwa zinatolewa wakati wa Mchezo wa Ngao ya Jamii kwa maana Wakati wa Ufunguzi wa Ligi.

Mamlaka hiyo Imesema Uamuzi huo Umekuja kwa Niaba ya Kulifanya jambo hilo kuwa Bora zaidi na Kuweza Kukidhi Mahitaji pamoja na Malengo yake.

Kwaiyo Kuanzia leo na Kuendelea Kama Tuzo za Msimu husika zitatolewa katika Msimu Unaokuja kwa Maana tuzo za Msimu huu 2023/24 zitatolewa Msimu 2024/25.

Tamko hilo la TFF limepokelewa kwa Maoni tofauti kwa Wadau wa Soka Nchini wengi wakisema ya Kwamba si sawa Mtu afanye kazi Ujira wake aje kulipwa Jasho lishakauka.

Wengine wakasema hii sio Kulifanya Jambo hilo kuwa Bora bali ni Kulidumaza kabisa kwani Unapoanza Msimu Mwingine kuna Mabadiliko katika timu hutokea kama Vile Wachezaji Kuhama timu Moja kwenda Nyengine hii Itakuwaje !!?.

Majadiliano yamekuwa Mengi na Wengine wakisema Je hilo wazo ni la Mtu mmoja hama kamati Nzima Imeamua hivyo je limehusisha Vilabu au Imekuwaje Kuwaje.

Ndugu Msomaji Unalipi kwako !??.


By Maximilian Damian reporter



Follow us on



YouTube



Facebook 

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix