Skip to main content

VITA YA MFUNGAJI BORA BADO MBICHI


Sports and Games

Vita ya nafasi ya pili bado mbichi huku Azam FC akiendelea kuwa mbele kufuatia ushindi wa 5-1 dhidi ya Kagera Sugar katika dimba la Azam Complex, Chamazi wakati Mnyama akiambulia ushindi mwembamba dhidi ya KMC Fc katika dimba la Sheikh Amri Abeid.

Mbio za kiatu cha ufungaji bora zinaendelea kupamba moto baada ya Feitoto kufunga magoli mawili huku Stephanie Aziz Ki akiongeza moja kwenye akaunti yake ya magoli kufikisha magoli 18 sawa na Faisal Salum.

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: NBCPL 🇹🇿

Yanga 3-0 Tabora United (Guede 19’, Maxi 49’, Aziz Ki 90+2'

Simba 1-0 KMC (Saido 03’)

Azam 5-1 Kagera Sugar (Gibril 50’, Kipre 65’, Feisal 72’, 79’, Nado / Mbaraka 51’)

Singida 2-1 Geita Gold (Gyan 7’, Amos 18’ / Kyaruzi 54’)

Namungo 2-2 TZ Prisons (Mukombozi 58’ 84’ / Zabona 33’, Benedicto 61’)

Ihefu 0-2 Dodoma Jiji (Mgaza 7’, Zigah 89’)

Mashujaa 3-2 Mtibwa Sugar (Lusajo 3’, 26’ / Karihe 15’, Madeleke 55’ OG)

Coastal Union 0-0 JKT Tanzania


Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix