Skip to main content

𝐏𝐀𝐑𝐀𝐃𝐄 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀🔰 Wananchi Jangwani wamepata burudani kutoka kwa 𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈 🙌🏽🙌🏽🔥

Sports and Games


𝐏𝐀𝐑𝐀𝐃𝐄 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀🔰

Wananchi Jangwani wamepata burudani kutoka kwa 𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈 🙌🏽🙌🏽

Katika siku ambazo zimewahi kutokea yaleo ilikuwa siku njema kwetu leo jeshiiiii ametupa burudani Wananchi  tumefurahi sana  Makolo mtazidi kukibeba



By Maximilian Damian reporter



Follow us on


YouTube


Facebook


Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix