Skip to main content

WINGA HATARI BASIARA AGEE KUTUA YANGA SC

Sports and Games



Winga hatari wa kikosi Cha AS Maniema Basiala Amongo Agee mwenye umri wa miaka 25 Pacha wa Max Nzengeli Kwa sasa anatamba mtaani akiwa na uzi wa timu ya Wananchi @yangasc .

Nyota huyu anatajwa kutua Jangwani siku chache zijazo Ili kuongeza Ufanisi katika eneo la kiungo mshambuliaji huyu akiwa na sanaa Bora ya kutengeneza mabao na kufunga pia .

Basiala Agee ameiongoza AS Maniema kupata tiketi ya kushiriki CAF Champions League msimu ujao baada ya kukaa nafasi ya pili pale Linafoot nyuma ya Mabingwa TP Mazembe Kwa tofauti ya alama Sita .

Miguel Angel Gamondi anataka Winga mwenye uwezo wa kufunga mabao na kutoa Assist akiwa na sanaa Bora ya kufungua safu za ulinzi za wapinzani..... Basiala Amongo Agee ni Complete package 📦🔥.

      #timuyawananchi
        #daimambelenyumamwiko
          #NBCPremierLeague

By Maximilian Damian reporter



Follow us on


YouTube



Facebook
            

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix