Sports and Games
𝗬𝗢𝗨𝗡𝗚 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗖𝗔𝗡𝗦 (𝗖𝗔𝗙) 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗨𝗝𝗔𝗢 🔰✅
Kuelekea michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika 24|25 klabu ya Yanga inaweza isianzie hatua ya awali | Preliminary round.
Kwa mujibu wa (CAF) timu (10) za juu kwenye viwango wa (CAF) hazianzii preliminary round kwenye ligi ya Mabingwa.
Currently club Ranking :
01. 🇪🇬 Al-Ahly Cairo (82)
02. 🇹🇳 Esperance de Tunis (61)
03. 🇲🇦 Wydad Casablanca (60) - ❌
04. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns (54)
05. 🇪🇬 Zamalek (43) - ❌
06. 🇲🇦 RS Berkane (42) - ❌
07. 🇹🇿 Simba SC (39) - ⚠️
08. 🇦🇴 Petro Atletico - (39)
09. 🇨🇩 TP Mazembe - (38)
10. 🇩🇿 CR Belouizdad - (37)
11. 🇩🇿 USM Alger (36) - ❌
12. 🇲🇦 Raja Casablanca - (35)
13. 🇹🇿 Young Africans SC - (31)
14. 🇨🇮 ASEC Mimosas - (30)
𝗞𝘄𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗮𝗻𝘇𝗶𝗲 𝗽𝗿𝗲𝗹𝗶𝗺𝗶𝗻𝗮𝗿𝘆 ?
Klabu (4) zenye (X) zilizo juu ya Yanga SC kwenye viwango vya (CAF) hapo kwenye list hazitashiriki ligi ya Mabingwa Afrika 24|25, wanaenda Shirikisho (CAF).
Maana yake ukizitoa timu hizo Yanga anaingia kwenye top (10) ya timu bora ambazo zina qualify kutoanzia hatua ya awali Preliminary round CAF champions league msimu ujao 24|25.. Yaani :
01 ◉ Al-Ahly Cairo 🇪🇬
02 ◉ Esperance de Tunis 🇹🇳
03 ◉ Mamelodi Sundowns 🇿🇦
04 ◉ Simba 🇹🇿 (Hakuna uhakika) ⚠️
05 ◉ Petro Atletico 🇦🇴
06 ◉ TP Mazembe 🇨🇩
07 ◉ CR Belouizdad 🇩🇿
08 ◉ Raja Casablanca 🇲🇦
09 ◉ Young Africans 🇹🇿
10 ◉ ASEC Mimosas 🇨🇮
Iwapo Simba asipofuzu kushiriki ligi ya Mabingwa Afrika timu nyingine iliyo nyuma ya ASEC Mimosas itaingia top (10) na kupata sifa ya kutoanzia preliminary round.
Pia Young Afticans SC wakiingia group stage watawekwa kwenye POT (B) tofauti na POT (C) walipokuwa last season
By Maximilian Damian reporter
Follow us on
YouTube
Facebook
Comments