YANGA SC NEWS UPDATE
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗜𝗧𝗔𝗙𝗨𝗡𝗜𝗞𝗔 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗕𝗨𝗚𝗔𝗔𝗧𝗜 𝗔𝗥𝗘𝗝𝗘𝗔 2024/25
Ni wazi Tamasha la Wiki ya Mwananchi kuelekea msimu ujao litakuwa la aina yake na pengine litakuwa Tamasha la kwanza ambalo Yanga wanaweza kumaliza tiketi mapema kuliko wakati mwingine wowote
Baada ya mafanikio ya timu hiyo katika misimu mitatu mfululizo pamoja na aina ya usajili ambao Yanga wameufanya Wananchi wako tayari kwa Tamasha hili na linakwenda kuvunja rekodi
Meneja wa habari na mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kuanzia Julai 01 wataanza kutangaza taarifa za maboresho ya kikosi na pale watakapokamilisha zoezi hilo mipango ya kuelekea Wiki ya Mwananchi itawekwa wazi
Aidha Yanga itaondoka nchini mwanzoni mwa Julai kwenda kuweka kambi nje ya nchi na pale watakaporejea ni katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi
Baada ya kukosekana kwa misimu miwili ya Wiki ya Mwananchi kutokana na kifungo, Haji Manara 'Buggati' amemaliza kifungo chake na atakuwepo katika tamasha hilo
Manara ametamba kuwa tayari ameanza kufanya mazoezi kwaajili ya utambulisho wa wachezaji wapya
Aidha kuna taarifa kuwa mabosi wa Yanga huenda wakaialika klabu ya Mamelodi Sundowns katika Tamasha hilo
Yanga bado haijamalizana na Sundowns kutokana na kile kilichotokea katika ligi ya mabingwa msimu uliopita
KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!
Nenda kwenye Google play store
Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo
KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
👇👇
TBN6439Y
Comments