Skip to main content

π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗦𝗒π—ͺ𝗔𝗛 π—‘π—œ π—¦π—¨π—”π—Ÿπ—” π—Ÿπ—” π—žπ—¨π—¦π—¨π—•π—œπ—₯π—œ

YANGA SC NEWS UPDATE


π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔  𝗦𝗒π—ͺ𝗔𝗛 π—‘π—œ π—¦π—¨π—”π—Ÿπ—” π—Ÿπ—” π—žπ—¨π—¦π—¨π—•π—œπ—₯π—œ



Jana TFF ilitangaza kuondoa kifungo cha usajili wa ndani kwa klabu ya Yanga baada ya FIFA kuiondolea kifungo kilichotokana na madai ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga Lazarus Kambole. Wananchi sasa wameruhusiwa kuingiza taadifa za usajili wa wachezaji wapya kwenye mfumo

Uongozi wa Yanga umeahidi kuanzia Jumatatu taarifa za usajili sitatangazwa sambamba na pre-season

 Aidha nyota wa Yanga watatakiwa kuripoti Avic Town kuanzia Jumatatu tayari kwa pre-season inayotarajiwa kufanyika nje ya nchi





Tetesi zimekuwa nyingi juu ya wachezaji ambao tayari wamemalizana na Yanga lakini uhakika ni kuwa kuanzia Jumatatu kila kitu kitakuwa hadharani

Miongoni mwa majina yanayotajwa ni pamoja na mshambuliaji George Mpole aliyemaliza mkataba na klabu ya FC Lupopo ya DR Congo

Mpole ni mchezaji wa ndani hivyo usajili wake utakuwa maalum kuchukua nafasi ya Crispine Ngushi ambaye mkataba wake umemalizika

Aidha Yanga pia inaweza kumshusha nchini mshambuliaji Jonathan Sowah raia wa Ghana ambaye alikuwa akiitumikia Al Nasri ya Libya 

Sowah aliitumikia Medeama Fc kabla ya kutimkia Libya kwenye usajili wa dirisha dogo

Sowah anaweza kuchukua nafasi ya Joseph Guede ambaye mkataba wake wa miezi sita umemalizika

Guede alikuwa kwenye mipango ya kocha Miguel Gamondi lakini ni wazi mahitaji yake makubwa kwenye mkataba mpya yanaweza kuwa sababu ya uongozi kuamua kuachana nae




Kama kila kiku titaenda sawa inamaana safu ya ushambuliaji ya Yanga itakuwa na watu wa kazi kwelikweli 

Kennedy Musonda, Clement Mzize bado wapo wakiongezeka Prince Dube, George Mpole na Jonathan Sowah

Stephane Aziz Ki yupo Pacome Zouzoua Yupo, Maxi Nzengeli na pengine ataongezeka yule wa bango.......







KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            πŸ‘‡πŸ‘‡

          TBN6439Y








Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”° #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TUZO ZA TFF KUTOLEWA LEO KATIKA UKUMBI WA SUPER DOME MASAKI

YANGA SC NEWS UPDATE ... 🚨 π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ β„Ή️ Tuzo za (TFF) zitafanyika   1 Aug 2024 katika ukumbi wa Super Dome Masaki.  Zaidi ya watu 550 watahudhulia.  β„Ή️ Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema kuwa, wamechelewa kutoa ratiba ya ligi kuu kwa sababu ya confirmation ya viwanja.  Bodi hiyo imeeleza kuwa, 24 | 25 wamepanga kutumia viwanja vichache ambayo ni bora ili kulinda hadhi ya ligi kuu Tanzania bara.

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...