Skip to main content

HII APA ORODHA YA SAIN ZILIZO NASWA NA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE




Klabu ya Young Africans Sports Club inatajwa kukamilisha usajili wa Nyota wawili wenye kiwango Cha juu Clatous Chama na Prince Dube ambao tayari wamefanya MAKUBWA ndani ya Ligi Kuu ya NBC.

Bila Shaka YANGA itakuwa na Safu hatari zaidi ya Ushambuliaji kama wachezaji Hawa wataelewana Mapema wakiungana na wenzao .

Pata Picha Uwepo wa Clatous Chama, Stephen Azizi Ki, Pacome ZouZoua na Prince Dube wakiwa ndani ya timu Moja ???





 👉 Pacome ana uwezo mkubwa wa kutengeneza mabao na kufunga pia ....Huku akiwa na faida ya kusaka Mpira ukipotea .

👉 Azizi KI ana ubora mkubwa sana akicheza huru Kwa sababu ana uwezo wa kutengeneza mabao na kufunga...Pia ana enjoy kucheza na na Mshambuliaji mjanja anayejua kukaa katika maeneo sahihi.

👉 Clatous Chama Huyu ni Master haswaaa Brain 🧠 Kubwa ya Mpira Kwa sababu una mtii awapo Dimbani anafanya kile Atakacho Huyu ni mbabe wa kutengeneza mabao Kamwe hajawahi kuwa mchoyo Dimbani.

👉 Prince Dube huyu ni Killer Striker (Fanya kosa ndani ya box ana kuua ) ...Complete Striker (Striker ALIYE kamilika) ....Fox in The Box (Mbwa Mwitu ndani ya box )....Pia ana uwezo mkubwa wa kucheza kitimu yaani kushirikiana vema na wenzake siyo MTU wa kusimama (Mviziaji) .

Nyota Hawa wataifanya YANGA kuwa hatari sana kama watafiti vema Kwenye mfumo wa Yanga ..

😂 NB Mwituni watahama mji ndugu zangu wataelekea Jangwani 🏃.

   📸 Usajili Wetu 

        





KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            👇👇

          TBN6439Y




Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix