Skip to main content

Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿, Stephane Aziz KI 🇧🇫 hiyo jana alikuwepo kwenye mechi

YANGA SC NEWS UPDATE


Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿, Stephane Aziz KI 🇧🇫 hiyo jana alikuwepo kwenye mechi ya hisani iliyoandaliwa na nyota mwenzake wa timu ya Taifa ya Burkina Faso,🇧🇫 Bertrand Traore ndani ya Bobo-Dioulasso huko Burkina Faso.

Frankie Kessie pia alihudhuria mechi hiyo.








KAMA UMEWAHI KUSIKIA KITU HII INAITWA PI NETWORK NJOO KWENYE GROUP UELEZWE ZAIDI KUHUSU KITU HII MWENYE INTEREST NI MUHIMU SANA KAMA HAUPO INTERESTED USIJE KABISA
👇👇

#follower









KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            👇👇

          TBN6439Y








KARIBU UTANGAZE NASI BIASHARA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA WHATSAPP BOFYA HAPA
      

AU TUPIGIE KUPITIA+2556941267
                                             OR
                                     +255653393434













Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki

Sports and Games Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki iliyozuka miongoni mwa wapenzi wa soka baada ya posti yake aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuzua sintofahamu. Awali kiungo huyo raia wa Burkina Faso alichapisha taarifa ya kuushukuru uongozi wa klabu hiyo, mashabiki pamoja za wachezaji wenzie kwa mafanikio waliyoyapata katika msimu uliomalizika hali iliyopelekea wengi kudhani anaaga Yanga. Hata hivyo Aziz Ki amejibu 'comment' ya mdau iliyosema “Ashiiii Azizi sasa kwenye post yako usianze na maneno 'thanks' unatufanye tuhofie kuwa unataka kuondoka” Akijibu 'comment' hiyo Ki ameandika “Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI” Posti iliyozua sintofahamu ilisomeka "Kila kitu kiliwezekana Shukrani kwenu wachezaji wenzangu, wafanyakazi, kamati ya rais na hasa nyinyi mashabiki, wapendwa wa...

BREAKING NEWS YANGA SC YAONDOLEWA ADHABU NA FIFA

Sports and Games Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) @taifastars_ @caf_online @yangasc By Maximilian Damian reporter Follow us on Facebook