Skip to main content

PACOME HAENDI POPOTE - KAMWE

YANGA SC NEWS UPDATE


PACOME HAENDI POPOTE - KAMWE



Meneja wa habari na mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amekanusha tetesi zilizovuma mitandaoni juu ya Pacome Zouzoua kuomba kuondoka baada ya kupata ofa kutoka timu mbalimbali wakiwemo mabingwa wa Afrika Al Ahly

Kamwe amesema mpaka sasa Yanga haijapokea ofa kutoka timu yoyote kwaajili ya mchezaji huyo ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja klabu hiyo




"Taarifa kuhusu Pacome ni uzushi tu na watu ambao wanatafuta faraja baada ya mambo yao kutokuwa mazuri"

"Pacome ni mchezaji wa Yanga na bado ana mkataba wa mwaka mmoja hatujapokea ofa yoyote kwaajili yake"

"Niwaambie tu uongozi tayari umeanza mchakato wa kumuongezea mkataba ambao utamuweka Janwani muda mrefu zaidi,' alisema Kamwe



Yanga iko mbioni kumuongezea Pacome mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya adumu Jangwani

Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

HAYA APA MATOKEO YOTE YA NBC PREMIER LEAGUE LEO FULL TIME

Sports and Games #NBCPL MATOKEO  Zimepigwa #hattrick mbili leo, moja ikitoka kwa Ismail Mgunda wa Ihefu na nyingine imetoka kwa …….. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania (Saido 88’p, Onana 90’+2) FT: Geita Gold 0-2 Azam (Yeison 58’, Feisal 71’) FT: Yanga 4-1 TZ Prisons (Aziz Ki 11’, 12’, 79’ Musonda 52’ / Ngassa 5’) FT: Namungo 3-2 Tabora United (Buswita 19’, 28’p, Manyanya 77’ / Abbas 84’, Moses) FT: Coastal Union 0-0 KMC  FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’, 47’, Ulomi 84’) FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’, 62’, 74’ / Karihe 37’) FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19’, Kaseke 84’p / Mafie 40’, Mbaraka 46’, Mhilu 82” By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube Facebook

MTI WA SUGAR RASMI AAGA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE

Sports and Games MSIMAMO: NI rasmi sasa nafasi ya nne msimu huu inamilikiwa kihalali na Coastal Union wakati vita ya kukwepa kushuka daraja moja kwa moja likisalia kwa Geita Gold na Tabora United…… Je, nani atamfuata Mtibwa Sugar???    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube channel Facebook