Skip to main content

RASMI: Klabu ya Yanga imeripotiwa kumsainisha kiungo Clatous Chota Chama mkataba wa mwaka mmoja

YANGA SC NEWS UPDATE




RASMI: Klabu ya Yanga imeripotiwa kumsainisha kiungo Clatous Chota Chama mkataba wa mwaka mmoja baada ya mkataba wa nyota huyo raia wa Zambia kunako Simba Sc kufikia ukomo.

Aidha, Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kupitia Insta Live amethibitisha kuwa Chama hana mkataba na Wekundu hao wa Msimbazi huku akiweka wazi kuwa hana uhakika kama ameongeza mkataba mpya au ataondoka.





“Kuanzia Jumatatu tutapata 'status' halisi ya Mwamba wa Lusaka ikitokea anabaki itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba na ikitokea anaondoka itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba" — Ahmed Ally.







KAMA UMEWAHI KUSIKIA KITU HII INAITWA PI NETWORK NJOO KWENYE GROUP UELEZWE ZAIDI KUHUSU KITU HII MWENYE INTEREST NI MUHIMU SANA KAMA HAUPO INTERESTED USIJE KABISA
πŸ‘‡πŸ‘‡
#everyone

#follower







KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            πŸ‘‡πŸ‘‡

          TBN6439Y









KARIBU UTANGAZE NASI BIASHARA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA WHATSAPP BOFYA HAPA
      

AU TUPIGIE KUPITIA+2556941267
                                             OR
                                


     +255653393434

Comments

CRYPTO NEWS said…
Good morning πŸŒ„πŸŒ…

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”° #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TUZO ZA TFF KUTOLEWA LEO KATIKA UKUMBI WA SUPER DOME MASAKI

YANGA SC NEWS UPDATE ... 🚨 π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ β„Ή️ Tuzo za (TFF) zitafanyika   1 Aug 2024 katika ukumbi wa Super Dome Masaki.  Zaidi ya watu 550 watahudhulia.  β„Ή️ Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema kuwa, wamechelewa kutoa ratiba ya ligi kuu kwa sababu ya confirmation ya viwanja.  Bodi hiyo imeeleza kuwa, 24 | 25 wamepanga kutumia viwanja vichache ambayo ni bora ili kulinda hadhi ya ligi kuu Tanzania bara.

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...