Skip to main content

Baada ya Mzunguko wa kwanza wa msimu wa 2024/2025 kuna uwezekano kuanzia number 6 kupanda juu YANGA SC ikawa hivi...hii ni hatari ukizingatia Takwimu za jumla za hawa vijana

YANGA SC NEWS UPDATE


Baada ya Mzunguko wa kwanza wa msimu wa 2024/2025 kuna uwezekano kuanzia number 6 kupanda juu YANGA SC ikawa hivi...hii ni hatari ukizingatia Takwimu za jumla za hawa vijana hapa chini.
YANGA wanasajili kuzingatia mahitaji wakati wote kuhakikisha mbadala wa aliye ndani kiubora wana mfanano mkubwa.
USHAMBULIAJI: Clement Mzize,Prince Mpumelelo Dube,Othos Baleke.

ATTACKING MIDFIELDERS: Zouzoua Pacome,Clatous Chama,Maxi Nzengeli,Aziz Ki Stephanie,Kennedy Musonda.

DEFENSIVE MIDFIELDERS: Mudathir Yahya,Khalid Aucho,Kagoma,Mtasingwa,Mkude.

Ukimkosa PACOME uwanjani CHAMA atakupa kilichokosekana,ukimkosa DUBE basi BALEKE atakupa,ukimkosa MUSONDA anayependa kutembea na upande utampata MZIZE ambaye naye ni Bora sana akitokea pembeni.
Ukirudi pale kati MAXI akikosekana atasimama MUDATHIR ambao kiuchezaji wanafanana Kwa maana ya kuwa dark subjects uwanjani,hawa huwa kama vivuli Kwa maana usimama kama defensive midfielders na pia attacking usaidia sana kumpunguzia mzigo Aucho pale kati.
Ila tizama eneo la Midfield ya chini,imagine una watu hawa ( AUCHO,MKUDE,MTASINGWA,KAGOMA),hii itawasaidia kuepukana na tatizo lililotokea katika games za Club Bingwa msimu wa 2023/24 ilibidi kusimama na wabadala ambao haikutegemea kuwapa performance ya AUCHO,ya nini kuishi Kwa mashaka basi unapata damu change na pure defensive midfielders (KAGOMA,MTASINGWA).
 Kwenye Back line BOKA anakuwa substituted na KIBABAGE upande wa kushoto wote wana ubora sana na kulia YAO anakuwa substituted na KIBWANA ama JOB...
Sijajua kama kuna mpango na eneo la kati kwa BACCA,MAMNYETO na JOB wanahitajika kupata wenzao ambao kukosekana kwao hakutoleta mashaka Kwa mashabiki,nawaza ikitokea injuries Kwa wakati mmoja kwa BACCA,JOB,NONDO..🤔

Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓🔰 #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...

WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA).

YANGA SC NEWS UPDATE WALE WALIOKUA NA SHAUKU YA KUJUA UPI NI UZI MKALI ZAIDI KATI YA JEZI ZOTE ZA YANGA NA SIMBA (KIMATAIFA). :: Weka kura yako kwenye comment Je, ni Uzi upi umeukubali zaidi? 𝘛𝘢𝘻𝘢𝘮𝘢 𝘮𝘦𝘤𝘩𝘪 𝘻𝘰𝘵𝘦 𝘻𝘢 𝘕𝘉𝘊 𝘗𝘳𝘦𝘮𝘪𝘦𝘳 𝘓𝘦𝘢𝘨𝘶𝘦, 𝘊𝘈𝘍, 𝘊𝘙𝘋𝘉 𝘍𝘈 𝘊𝘜𝘗, 𝘌𝘗𝘓, 𝘜𝘌𝘍𝘈, 𝘓𝘐𝘝𝘌 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘴𝘪𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘬𝘰, 𝘋𝘰𝘸𝘯𝘭𝘰𝘢𝘥 𝘈𝘱𝘱 𝘉𝘰𝘯𝘺𝘦𝘻𝘢 👉🏾 http://bit.ly/zetuflix