๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.
YANGA SC NEWS UPDATE
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.
Klabu ya Yanga Imethibitisha Kumuongezea Mkataba Beki wake Nickson Kibabage.
Mkataba huu Utamfanya Nickson Kibabage Kusalia Viunga vya Jangwani Mpaka Mwaka 2027.
Yanga Imeacha.
โ๏ธAugustine Okrah
โ๏ธZawadi Mauya
โ๏ธMetacha Mnata
Yanga Imeongeza Mikataba.
โ๏ธFarid Mussa 2026
โ๏ธDjigui Diarra 2027
โ๏ธBakari Mwamnyeto 2026
โ๏ธNickson Kibabage 2027
Yanga Imesajili.
โ๏ธClatous Chota Chama
Yanga Inaendelea Kukikomaza Kikosi chao Kwanza 2024/2025.
Comments