YANGA SC NEWS UPDATE
⚽𝗞𝗜𝗦𝗔 𝗧𝗨𝗭𝗢 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗕𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗞𝗛𝗔𝗟𝗜𝗗 𝗔𝗨𝗖𝗛𝗢
“Sisi kama Wanayanga tulikaa tukaamua lazima tuandae tuzo ya mashabiki kwaajili ya Khalid Aucho, Tulisema tutapelea Fedha au Tuzo. Malengo yetu yalikuwa shilingi Milioni mbili (2) mpaka sasa tumechangia Milioni moja na laki nane (1,800,000) bado laki mbili tu”
“Nimekuja hapa kuwashukuru Wadau na Mashabiki wote wa Yanga waliochangia ili Aucho apewe tuzo hiyo”
– Mwalimu Yanga - Shabiki wa yanga
Comments