YANGA SC NEWS UPDATE
𝗝𝗨𝗠𝗔𝗠𝗢𝗦𝗜 𝗛𝗜𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗨𝗚𝗦𝗕𝗨𝗥𝗚 𝗬𝗔 𝗨𝗝𝗘𝗥𝗨𝗠𝗔𝗡𝗜.
Jumamosi hii mabingwa wa soka Tanzania, YANGA SC watakipiga na FC AUGSBURG inayoshiriki ligi kuu soka nchini Ujerumani Bundesliga
Mtanange huu utapigwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Mpumalanga Premier's International Cup 2024
Mechi hii itaruka AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni
Comments