YANGA SC NEWS UPDATE
πππ ππππ πππππ ππππππππ.
Aliyekuwa beki wa Kushoto wa Yanga Mkongoman Joyce Lomalisa hatakuwa Kikosi cha Yanga Msimu 2024/25.
Joyce Lomalisa amefungasha Virago Vyake Baada ya Kandarasi yake Kumalizika.
Yanga Imeacha 24/25.
βοΈAugustine Okrah
βοΈZawadi Mauya
βοΈMetacha Mnata
βοΈJoyce Lomalisa
Yanga Imeongeza Mikataba.
βοΈFarid Mussa 2026
βοΈDjigui Diarra 2027
βοΈBakari Mwamnyeto 2026
βοΈNickson Kibabage 2027
Yanga Imesajili.
βοΈClatous Chota Chama
Yanga Inaendelea na Kukarabati Kikosi Chake 2024/2025.
#everyone
Comments