YANGA SC NEWS UPDATE
๐๐๐๐๐๐ Clatous Chama ni ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ Karibu sana Jangwani๐๐ฝ
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐?
Rasmi Mchezaji wa zamani wa Simba SC Clatous Chota Chama ametambulishwa na yanga sc akitokea upanda wa pili wa waasimu wetu Taarifa zinaeleza kuwa chama amepewa miaka miwili uku mkataba wake ukiwa na Sehemu ya marekebisho ya kumuongezea mkataba mwingine endapo ataparform vizuri
Chama amesajiriwa kwa kiasi cha Dollar 300,000 laki tatu ambazo ni sawa na million 700 na point za kitanzania uku ikielezwa yakuwa atalipwa takribani TZS 35 million kwa mwezi
Welcome Chama welcome to youg Africans Sports club
Mwana yanga popote ulipo sema Tabu iko palepale!!!!!
Sisi ndo yanga usiache kufuatilia tovuti yetu ya yanga sc news kupitia๐๐
Ili uweze kupata habari zetu za yanga SC kila siku!!
Comments