YANGA SC NEWS UPDATE
Klabu zetu zinapaswa kujifunza jambo kutoka kwa wengine kuhusiana na biashara ya jezi, kama ulifatilia vizuri msimu uliopita jezi za Mamelodi Sundowns zilivaliwa sana Tanzania, hilo halina ubisha.
.
Jezi za Mamelodi Sundowns zilinunuliwa sana Bongo! Ukipita mitaani ile UBUNTU-BOTHO ilichafua sana mitaa. Jamaa walifanikiwa sana kwenye soko la jezi Tanzania.
.
Natamani kuona klabu za Tanzania hususan giants [Yanga, Azam FC na Simba] zina shika soko la Afrika kwa kusambaza jezi zao.
.
Sasa hapo ndio tutaona nguvu ya kit suppliers timu zetu, wana international market? Wana retailers nje ya Tanzania? Wana connections za kusambaza jezi nje ya nchi?
.
Comments