YANGA SC NEWS UPDATE
Klabu ya Young Africans Sc imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Azam Fc, Prince Dube (27) raia wa Zimbabwe kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili.
Prince Dube amejiunga rasmi na Yanga SC kama Mchezaji huru baada ya kufanikiwa kuvunja Mkataba na iliyokuwa Klabu yake Azam FC.
Comments