YANGA SC NEWS UPDATE
... โ๏ธ ๐๐ก๐๐๐ก๐๐๐ฅ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐๐
โ Alimchukua Kennedy Musonda mbele ya Giant kama TP Mazembe ๐จ๐ฉ
โ Alimchukua Stephane Aziz Ki ๐ง๐ซ mbele ya timu kama FAR Rabat, USM Alger, Kaizer chiefs, Simba SC na timu zingine nyingi.
โ Alimchukua Pacome mbele ya Al-Hilal ๐ธ๐ฉ, Al-Ittihad ๐ฑ๐พ, ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ.
โ Alimchukua Yao Kouassi dhidi klabu kama SEC Mimosas ๐จ๐ฎ, Orlando Pirates ๐ฟ๐ฆ, CR Belouizdad ๐ฉ๐ฟ na zingine zilizomtaka.
โ Amemsajili Prince Dube dhidi ya matajiri kama Yusuph Bakhresa.
โ Amemchukua Chama dhidi ya Mo Dewji.
Hii picha ilipigwa tangu Mei baada ya Engineer kukamilisha usajili wa Clatous Chama.. Watu wanashituka kutaka kumuongeza mkataba kumbe Engineer kiitambo alishafanya yake.
๐ธ Pichani ni Chikoye Paricha owner of Pro Elite management ambaye ni agent wa Chama na wachezaji wengine wengi Afrika.
Note : Engineer Hersi Said huwa anawaambia nini wachezaji hadi wanakubali kujiunga na Young Africans SC licha ya kuahidiwa donge nono na timu zingine ?!
Nilichogundua Engineer ana kipawa chla nguvu ya ushawishi + Vibunda vya (GSM).
โน๏ธ Sajili zote hatumi mtu, anaenda yeye mwenyewe front line ๐
Comments