Uongozi wa Yanga๐ฐ upo katika mpango wa kumtambulisha Clatous Chota Chama๐ฟ๐ฒ katika Uwanja wa Mkapa ambapo wataweka na
YANGA SC NEWS UPDATE
๐จYANGA WANAFANYA KAMA ULAYA
Uongozi wa Yanga๐ฐ upo katika mpango wa kumtambulisha Clatous Chota Chama๐ฟ๐ฒ katika Uwanja wa Mkapa ambapo wataweka na kiingilio kama wanavyofanya Real Madrid na Barcelona wanapotambulisha usajili wa wachezaji wakubwa waliowasajili kama Cristiano Ronaldo, Neymar, Bale, Coutinho na wengine
Comments