Skip to main content

YACOUB SIDI AZISIFIA YANGA NA SIMBA KATIKA MAHOJIANO YAKE

YANGA SC NEWS UPDATE





KIUNGO wa klabu ya Alkhoums kutoka nchini Libya, Yacoub Sidi amesifu hatua kubwa iliyopigwa na klabu za Tanzania.
-
Yacoub Sidi raia wa Mauritania amesema ndani ya miaka miwili Ligi Kuu ya NBC imekuwa miongoni mwa ligi bora Afrika na hilo limechangiwa kwa kuwa na klabu zenye ubora pia.
-
"Ligi ya Tanzania ni ligi bora, na katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imekuwa moja ya ligi kali za Afrika na kuna maendeleo ya wazi kwa timu za Tanzania,” amesema Sidi.
-
Akipiga stori na SpotiLEO kiungo huyo amesema aliwahi kucheza pamoja na Fiston Mayele, Jesus Moloko na Juma Wadol Shibani wakiwa As Vital ya DR Congo.
-
Amesema kwake isingekuwa tu heshima kucheza Tanzania kwani rafiki zake hao kucheza Yanga pia ni heshima kwake.
-
Kinachomvutia Sidi katika ligi Ya Tanzania ni uaminifu wake wa ajabu kwa wapenda soka . Amesema kwa sasa anatamani kucheza Ligi ya Misri. 
-
“Kila mchezaji alikuwa na ndoto ya kucheza soka katika umri mdogo, na namshukuru Mungu, ndoto yangu ilitimia na nikawa mchezaji wa kimataifa,” ameongeza.




Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

HAYA APA MATOKEO YOTE YA NBC PREMIER LEAGUE LEO FULL TIME

Sports and Games #NBCPL MATOKEO  Zimepigwa #hattrick mbili leo, moja ikitoka kwa Ismail Mgunda wa Ihefu na nyingine imetoka kwa …….. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania (Saido 88’p, Onana 90’+2) FT: Geita Gold 0-2 Azam (Yeison 58’, Feisal 71’) FT: Yanga 4-1 TZ Prisons (Aziz Ki 11’, 12’, 79’ Musonda 52’ / Ngassa 5’) FT: Namungo 3-2 Tabora United (Buswita 19’, 28’p, Manyanya 77’ / Abbas 84’, Moses) FT: Coastal Union 0-0 KMC  FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’, 47’, Ulomi 84’) FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’, 62’, 74’ / Karihe 37’) FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19’, Kaseke 84’p / Mafie 40’, Mbaraka 46’, Mhilu 82” By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube Facebook

MTI WA SUGAR RASMI AAGA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE

Sports and Games MSIMAMO: NI rasmi sasa nafasi ya nne msimu huu inamilikiwa kihalali na Coastal Union wakati vita ya kukwepa kushuka daraja moja kwa moja likisalia kwa Geita Gold na Tabora United…… Je, nani atamfuata Mtibwa Sugar???    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube channel Facebook