YANGA SC NEWS UPDATE
... π¨ π¨π£πππ§ππ¦
βΉ️ Tuzo za (TFF) zitafanyika
1 Aug 2024 katika ukumbi wa Super Dome Masaki.
Zaidi ya watu 550 watahudhulia.
βΉ️ Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema kuwa, wamechelewa kutoa ratiba ya ligi kuu kwa sababu ya confirmation ya viwanja.
Bodi hiyo imeeleza kuwa, 24 | 25 wamepanga kutumia viwanja vichache ambayo ni bora ili kulinda hadhi ya ligi kuu Tanzania bara.
Comments