Skip to main content

π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗩𝗦 𝗦𝗔𝗙𝗔π—₯π—œ π—–π—›π—”π— π—£π—œπ—’π—‘π—¦

YANGA SC NEWS UPDATE


π—‘π—œ π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗩𝗦 𝗦𝗔𝗙𝗔π—₯π—œ π—–π—›π—”π— π—£π—œπ—’π—‘π—¦


Jumamosi Juni 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1 usiku utapigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanha dhidi ya Safari Champions 

Siku hiyo litafanyika Tamasha kubwa la burudani ambapo wasanii wakubwa wa ndani na nje ya nchi watatumbuiza





Kofii Olomide (DRC Congo)
Harmonize (Tanzania) ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha hilo ambalo litahitimishwa na mechi kati ya Yanga dhidi ya Safari Champions

Viingilio vya mchezo huo vimetangazwa na nimekuwekea kwa mfumo wa picha hapo






KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            πŸ‘‡πŸ‘‡

          TBN6439Y





Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki

Sports and Games Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki iliyozuka miongoni mwa wapenzi wa soka baada ya posti yake aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuzua sintofahamu. Awali kiungo huyo raia wa Burkina Faso alichapisha taarifa ya kuushukuru uongozi wa klabu hiyo, mashabiki pamoja za wachezaji wenzie kwa mafanikio waliyoyapata katika msimu uliomalizika hali iliyopelekea wengi kudhani anaaga Yanga. Hata hivyo Aziz Ki amejibu 'comment' ya mdau iliyosema β€œAshiiii Azizi sasa kwenye post yako usianze na maneno 'thanks' unatufanye tuhofie kuwa unataka kuondoka” Akijibu 'comment' hiyo Ki ameandika β€œNawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI” Posti iliyozua sintofahamu ilisomeka "Kila kitu kiliwezekana Shukrani kwenu wachezaji wenzangu, wafanyakazi, kamati ya rais na hasa nyinyi mashabiki, wapendwa wa...

BREAKING NEWS YANGA SC YAONDOLEWA ADHABU NA FIFA

Sports and Games Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) @taifastars_ @caf_online @yangasc By Maximilian Damian reporter Follow us on Facebook