Skip to main content

HAJIS MANARA AFUNGUKA ISSUE NZIMA YA GSM KUJENGA UWANJA WA YANGA KATIKA MAKAO MAKUU YA UEFA NCHINI USWIZ

YANGA SC NEWS UPDATE


Hajis Manara





Ghalib Said Mohammed (GSM)



Semaji la Dunia @hajismanara akifunguka kuwa Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) atajenga uwanja wa Yanga hivi karibuni Jangwani Jijini Dar es salaam.




@hajismanara ameeleza kuwa uwanja huo utakamilika katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu mpaka miaka miwili pia utakuwa una uwezo wa kuingiza watu Elfu 15 mpaka Elfu 20.

@hajismanara amezungumza hayo akiwa makao makuu ya Shirikisho la soka barani ulaya (UEFA) Nyon, Nchini Uswizi.





KAMA UNATUMIA MTANDAO WA TIGO!!! HII NIKWAAJILI YAKO!!!

Nenda kwenye Google play store

Download app ya Tigo pesa then jisajili kisha Nenda sehem ilioandikwa *Invite& Earn* Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza "TBN6439Y" Tayali apo utapata Gb 1 na shiling 2000 Kutoka tigo

KUMBUKA KUJAZA HILI NENO HAPO CHINI
            πŸ‘‡πŸ‘‡

          TBN6439Y







Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”° #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TUZO ZA TFF KUTOLEWA LEO KATIKA UKUMBI WA SUPER DOME MASAKI

YANGA SC NEWS UPDATE ... 🚨 π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ ℹ️ Tuzo za (TFF) zitafanyika   1 Aug 2024 katika ukumbi wa Super Dome Masaki.  Zaidi ya watu 550 watahudhulia.  ℹ️ Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema kuwa, wamechelewa kutoa ratiba ya ligi kuu kwa sababu ya confirmation ya viwanja.  Bodi hiyo imeeleza kuwa, 24 | 25 wamepanga kutumia viwanja vichache ambayo ni bora ili kulinda hadhi ya ligi kuu Tanzania bara.

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...