Skip to main content

TAREHE 30 JUNE LEO NDIYO SIKU PEKEE YA MWAMBA WA RUSAKA KUHITIMISHA MKATABA WAKE NA MAKOLO

YANGA SC NEWS UPDATE


⏯️Naam leo ni tarehe 30 mwezi wa 6 mwaka 2024.

Hii ndiyo siku ya mwisho kabisa ya mkataba kati ya CHAMA na Simba sc Tanzania.

Hakuna mabadiliko yoyote ya taarifa niliyoitoa ya CHAMA kusaini Yanga sc.

Lakini pia hakuna uongo wowote kuhusu CHAMA kuhitajika na Simba sc Tanzania ingawa kuitwa kwake hakujabadili chochote kwasababu mchezaji huyo Tayari alishamwaga wino jangwani.

Nikweli siku ya tarehe 27 Mo dewji alimuita CHAMA akihitaji kikao cha mazungumzo ya kumsainisha mkataba mpya lakini CHAMA hakufika kilichofuata Mo dewji akamtuma kiongozi Mmoja wa upande wa wajumbe wake akiwa na mwandishi Mmoja mzawa wa morogoro wakatua Zambia kwaajili ya mazungumzo,mazungumzo ambayo hayakuwa na MAFANIKIO kwasababu CHAMA Tayari ni mwananchi na anaipenda sana Yanga sc.

CHAMA yupo huru sasa kuanzia leo Yanga sc ipo huru kufanya itakacho kwa CHAMA na CHAMA yupo huru kwenye maisha mapya ya soka nchini Tanzania.





PI NETWORK NININI???









Pi network ni sarafu ya mtandaoni yenye thamani kubwa kuliko sarafu zote duniani





Pi network imeanzishwa rasmi mnamo mwaka 2018 nchini Marekan na mwanafunzi mahili Doctor Nicolaus pamoja na mkewe

Baada ya hapo pi coin ilizinduliwa rasmi mnamo mwaka 2019

Pi coin inapatikana kwa kuchimba kila baada ya masaa 24 mfumo wa uchimbaji huu hauitaji uwekezaji wowote kwahiyo ndugu yangu yeyote atakaye itaji kukutoza pesa yoyote katika kukuunga na pi network huyo nitapeli 



Mpaka sasa pi coin moja ina thamani ya kiasi cha Dollar 314,128

Ambayo ni sawa na TZS 800 million za kitanzania   

Ndugu yangu vp siku coin hiyo ikiwekwa sokoni kama utakuwa na pi zako 500 itakuwa ni sawasawa na shingap katika nchi yako

Issue Hii niyakweli kama huamini ingia katika mtandao wa YouTube andika neno (pi network) naimani utajifunza mengi 



Pi coin mpaka sasa katika nchi zilizoendelea kama lndonesia ,Malekani, China nanchi anyone nyingi wameshaanza kuitumia sarafu hiyo kununua vitu vingi kama magari, vyakula,na vitu mbali mbali



Kwa Tanzania sisi imeshafika mikoa mbalimbali bali Watu hawatoi fursa hizi kwa vijana na Watu wengine kwa mfano video hizi niushahid tosha





Pi network ndani ya Arusha kutoka startiv




Pi network Tanzania jijini Mwanza
Katika hospital ya KLM




Pi network ndani ya China wakiuziana dhahabu Gold πŸͺ™ kwa kutumia pi coin





Pi network bank card  





KWA YEYOTE ANAYE HITAJI KUJIUNGA NA PI NETWORK ATABONYEZA LINK HII πŸ‘‡πŸ‘‡

Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 55 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link https://minepi.com/Mutalemwa21 







DOWNLOAD. PI NETWORK APP KISHA BAADA YA KUDOWNLOAD UTA UGUNGUA KISHA UTAJILI KWA MAJINA YAKO YALIYOPO KWENYE KITAMBUSHO CHAKO CHA NIDA KWA USAHIHI KAMILI : ZINGATIA HAPO



BAADA YA KUWEKA MAJINA KAMILI KISHA UTAWEKA NAMBA YAKO YA SIMU NA EMAIL βœ‰οΈ. 

BAADA YA HAPO UTATAKIWA KUWEKA USER NAME MFANO 

Juma356

Au 

Asha965



BAADA YA HAPO SEHEMU YA MUHIMU SANA 



MWISHO UTAITAJIKA KUWEKA BONUS CODE AMBAYO ITAKUSAIDIA KUPEWA PI COIN MOJA YA KIANZIO UTAWEKA NENO HILI πŸ‘‡πŸ‘‡

Mutalemwa21

hiyo itasaidia kupata bonus yako ya pi moja 

Kisha baada ya hapo utakuja kujiunga katika group letu la pi network Tanzania hapaπŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/ED36ak4RHeLHwFbL3jbOLy

Zingatia!!! Ukija kika group hili uwe tiya umekwisha kuunga na pi network vinginevyo Admin atakulimove halaka






Comments

Popular posts from this blog

Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____?

YANGA SC NEWS UPDATE Klabu ya Yanga SC imefanya uzinduzi wa jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 Unazipa Marks ngapi kati ya 10____? Young Africans SC  𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”° #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko

TUZO ZA TFF KUTOLEWA LEO KATIKA UKUMBI WA SUPER DOME MASAKI

YANGA SC NEWS UPDATE ... 🚨 π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ ℹ️ Tuzo za (TFF) zitafanyika   1 Aug 2024 katika ukumbi wa Super Dome Masaki.  Zaidi ya watu 550 watahudhulia.  ℹ️ Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imesema kuwa, wamechelewa kutoa ratiba ya ligi kuu kwa sababu ya confirmation ya viwanja.  Bodi hiyo imeeleza kuwa, 24 | 25 wamepanga kutumia viwanja vichache ambayo ni bora ili kulinda hadhi ya ligi kuu Tanzania bara.

TAARIFA NJEMA KWA YANGA SC

YANGA SC NEWS UPDATE Hii inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na si vinginevyo. . Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July 1962 na wakitaka kuutumia Ali la Pointe, lakini ombi lao limekataliwa.  . Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi, wiki hii. Uwanja wa 5 July 1962 uliopo katika Mji wa Algiers ni karibu zaidi na Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene ambao Yanga itatua leo mchana ikitokea Dar es Salaam, hivyo haitawapa wakati mgumu wa kuanzisha safari nyingine kwenda Douera unapopatikana Uwanja wa Ali la Pointe.  . Hata hivyo, MC Alger waliangalia mbali zaidi kwani Uwanja wa Ali la Pointe ndiyo wanautumia zaidi kwa mechi za nyumbani za ligi, hivyo wameuzoea zaidi kulinganisha na 5 July 1962. Kitendo cha CAF kutokuba...