YANGA SC NEWS UPDATE
T U T A F U R A H I S O O N
Safari hii YOUNG AFRICANS SC imedhamiria Ubaya Ubaya Tuu yaani hakuna Hata Chembe ya Huruma Unapoiona YANGA iko uwanjaniπ₯
YANGA hii ya 2024/25 haitowafanya makocha wa Timu pinzani Kuvua Kofia na Kujikuna hadi nywele za Kichwani zinaondoka..
Yaani safari Hii Itawafanya Makocha wawe wanaingia na Mikwaju Uwanjani ili Kuwatandika wachezaji waoππ€£
Sipati picha kumuona DEBORA akitandikwa viboko,
Salima Akikunjana Na Chemalonya Fundo,
Na Huko Jukwaani watu watakuwa wanaimba huku wanalia ya kuwa Hawamtaki Mangungu,MO,Jaribu na Kispikaππ
Maana Tunapoelekea Tutawafanya Watu watakuwa Wanakufa huku wanalalamika ya Kuwa Hawautaki uongozi mzimaaa
Chaliπ
MAYO ni Mwananchiππ
Sisi ndo yanga usiache kufuatilia tovuti yetu ya yanga sc news kupitiaππ
Ili uweze kupata habari zetu za yanga SC kila siku!!
Comments