YANGA SC NEWS UPDATE
ππππππ πππππππ πππππ.
Klabu ya Yanga Imemuongezea Mkataba Golikipa wao Aboutwaleeb Mshery wa Miaka 3 Kusalia Yanga Mpaka Mwaka 2027.
Aboutwaleeb Mshery Ataendelea Kusalia kama Golikipa Namba Mbili baada ya Kuondoka Metacha Mnata
#everyone.
Comments