YANGA SC NEWS UPDATE
βDua hii ni kuthibitisha kuwa tuna enzi yake yote mazuri aliyofanya kwa klabu yetu, mafanikio ambayo Yanga SC tumepata kupitia kwa Manji yataendelea kubaki kwenye historia na mioyo ya kila mdau na mpenzi wa soka letuβ Eng. Hersi Said
βNawashukuru sana wazee wetu na wadau ambao wamejitokeza kwenye dua hii maalumu kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mdhamini, Mfadhili na M/Kiti wetu Yusufu Manji kama sehemu ya kuungana na familia yakeβ
βSisi sote tumefurahishwa sana na jitihada za Yusuf Manji ambazo alifanya kwa klabu hii. Manji alifanya mambo makubwa sana kuhakikisha kuwa klabu yetu hii inapata mafanikio, katika utawala wake amefanya mambo mengi mazuri mno katika wakati wake tulipata mafanikio makubwa β Eng Hersi Said.
Comments