YANGA SC NEWS UPDATE
π¨ππππππ πππ πππππ πππππππ.
Baada ya Kocha wa WydadCasablanca Rulani Mokwena kuomba uongozi wa Wydad kutuma Ofa yanga Ili kuinasa Saini ya kiungo Mshambuliaji wa Timu hiyo Stephanie Aziz Ki kocha Wa Timu ya Yanga Gamondi amemjibu Mokwena ‡οΈβ€΅οΈ
βNikweli Wydad walituma offer kumwitaji Stephane Aziz Ki lakini Niweke Wazi aitawezakana kwasasa ni mojawapo ya Nguzo Muhimu kwenye Project yangu awezi kwenda Kwasasa."
Comments