Skip to main content

REDI ARROWS WAFURAHISHWA NA MUALIKO KUCHEZA NA YANGA KILELE CHA MWANCHI

YANGA SC NEWS UPDATE




REDI ARROWS WAFURAHISHWA NA MUALIKO  KUCHEZA NA YANGA KILELE CHA MWANCHI



Kocha mkuu wa Red Arrows ya Zambia Chisi Mbwene, Amesema baada ya kupata mualiko wa kucheza na Yanga katika kilele cha wiki ya Mwananchi imekuwa ni jambo zuri kwao kwani wanaenda kukutana na timu imara itakayowapa changamoto mpya

Timu hiyo ambayo ni mabingwa wa ligi kuu ya Zambia (ZPL) itawasili muda wowote nchini kwaajili ya kusherehesha mchezo huo muhimu unaosubiriwa kwa hamu utakaopigwa Jumapili August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

"Tunaenda kukutana na timu nzuri ambayo itakuwa ni kipimo kizuri kwetu hasa wakati huu ambao tuko katika maandalizi ya msimu ujao. Isingekuwa rahisi kukataa mwaliko waliotupatia kwani tuliamini wao pia ni mabingwa na watatupa ushindani," alisema Bwene


Comments

Popular posts from this blog

TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela

YANGA SC NEWS UPDATE #TETESI: Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa msimu 2024-25 lakini majina va wachezaji hao sio sehemu ya wachezaji waliongezewa mikataba kuelekea msimu ujao wa Mashindano ndani ya Yanga SC. Yupi alistahili kubaki ndani ya Yanga msimu ujao hapo??

HAYA APA MATOKEO YOTE YA NBC PREMIER LEAGUE LEO FULL TIME

Sports and Games #NBCPL MATOKEO  Zimepigwa #hattrick mbili leo, moja ikitoka kwa Ismail Mgunda wa Ihefu na nyingine imetoka kwa …….. FT: Simba 2-0 JKT Tanzania (Saido 88’p, Onana 90’+2) FT: Geita Gold 0-2 Azam (Yeison 58’, Feisal 71’) FT: Yanga 4-1 TZ Prisons (Aziz Ki 11’, 12’, 79’ Musonda 52’ / Ngassa 5’) FT: Namungo 3-2 Tabora United (Buswita 19’, 28’p, Manyanya 77’ / Abbas 84’, Moses) FT: Coastal Union 0-0 KMC  FT: Mashujaa 3-0 Dodoma Jiji (Lusajo 6’, 47’, Ulomi 84’) FT: Ihefu SC 5-1 Mtibwa Sugar (Bola 5’, Chukwu 16’, Mgunda 41’, 62’, 74’ / Karihe 37’) FT: Singida FG 2-3 Kagera Sugar (Kidemile 19’, Kaseke 84’p / Mafie 40’, Mbaraka 46’, Mhilu 82” By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube Facebook

MTI WA SUGAR RASMI AAGA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE

Sports and Games MSIMAMO: NI rasmi sasa nafasi ya nne msimu huu inamilikiwa kihalali na Coastal Union wakati vita ya kukwepa kushuka daraja moja kwa moja likisalia kwa Geita Gold na Tabora United…… Je, nani atamfuata Mtibwa Sugar???    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing #LeagueTable By Maximilian Damian reporter Follow us on YouTube channel Facebook