Yanga inaenda kuwa timu ya kwanza kutoka ukanda wa Africa Mashariki na kati kuzindia wimbo wao Rasmi wa klabu (Yanga Anthem)
YANGA SC NEWS UPDATE
π¨Just in
Yanga inaenda kuwa timu ya kwanza kutoka ukanda wa Africa Mashariki na kati kuzindia wimbo wao Rasmi wa klabu (Yanga Anthem)
Mfano wa wimbo huu ni kamaπ
-Hala Madrid (wimbo rasmi wa Real Madrid)
-Glory Glory (wimbo rasmi wa Man Utd)
-Youβll Never Walk alone (wimbo rasmi wa Liverpool)
Huu wimbo rasmi wa Yanga umetungwa na Mtanzania anayeishi Marekani.
Na producer ni Laizer Classic βAyo Laizerβ
Wimbo huo utazinduliwa siku siyo nyingi.
#everyone
#timuyawanachi
#yanga sc
Comments