YANGA SC NEWS UPDATE
ππππππ πππ
"Kama Young Africans Sports Club, tumefurahi sana kupata mwaliko huu wa kushiriki michuano ya Toyota Cup 2024. Mechi hii inaendeleza uhusiano kati ya timu zetu mbili kubwa barani Afrika, ambayo ilianza mwaka jana tulipowaalika Chiefs kushiriki maonyesho yetu. mechi ya kirafiki iitwayo ππ’π€π’ ππ ππ°ππ§ππ§ππ‘π’. Tumefurahishwa na mwaliko huu na tunaahidi kutoa mechi ya ushindani ambayo itatusaidia kujiandaa kwa msimu mpya wa 2024/25" Rais wa Young Africans SC, Eng. Hersi Said
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Comments